Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

Tatizo lako umekurupuka kutoka kwenye klub ya kimpumu
 
Wanamuziki wa taarabu wanajua na kutoa mafumbo mengi.

Tangu huyu jamaa adhalilike kwa kuomba msamaha amekuwa mkimya sana,sasa anaanza kujisahau.

Lile bao lake la mkono limempatia mimba ya mkononi.

Tutaelewana tu kidogokidogo
Upo vizuri dadeeeki
 
Maana yake jpm anapewa kete za bure ale(misifa)
 
Unaweza ukadhani mtu ni jasiri lakini mminye kidogo tu kama alivyominywa Nape ndio utajua hapo ni debe tupu tu la kinafiki. Je angemiminiwa risasi? Mashangazi kutishwa kukung'utwa basi mkia kauficha, je angelala ndani? Hivi Vinape Nape vinyamaze tu, wanaume waingie kwenye uwanja wa vita, atasaidiana na kina mama kutayarisha supu kwa mashujaa wakitoka vitani. Kila nikimwangalia Nape nakumbuka tu hii picha...


Basi mambo yake ni ya kikanga kanga tu na vitenge!
 
SIKU ZA FIRAUNI ZINAHESABIKA, MUSSA WA TOURATI ANAUTAKA UFALME WAKE. KILA LA KHERI MWANAHARAKATI LISSU
 
Hii tweet ukiiangalia bila ushabiki ina ujumbe mwanana kwa TL.
Ni kama vile Nape kampa hadhari ili ajiimarishe zaidi na harakati zake.
Ina maana leo Hii tutapata jibu.
Kimya kingi cha vyombo vya uchaguzi ni kumuengua .
Hivi sasa ni shida tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…