Habari za maisha JF!
Nimegundua ukitoa pesa unaweza kupata zingine kwa wepesi zaidi & vice versa.
Wewe umeligundua hili?
Haihitaji imani zaidi....ni utafiti tu!
Nawasilisha!
Aisee wewe ni kichwa ile mbaya utakuwa professor au dr. Sasa nimeamini ndio maana mafisadi mambo yao safi kwa vile wanatoa makanisani na misikitini.Na kwa yeyote ambaye ni kibaraka wao
Ahsante bibie!
Wewe wazitumia?
zikimalizika inachukua muda gani kuzipata zingine?
Im interested in reading that book. Unaweza kutuambia mtunzi wa kitabu ni nani?nikitumia haraka napata haraka.
Waambie wadau watafute kitabu kinaitwa secret.
Waelewe vizuri secret to money ilivyo.
nikitumia haraka napata haraka.
Waambie wadau watafute kitabu kinaitwa secret.
Waelewe vizuri secret to money ilivyo.
Kinapatikana wapi?
Maana maduka ya vitabu ni mengi.
Mdau mwingine ameuliza mtunzi ni nani?
nafikiri Inategemea unatumiaje.........au hata matumizi haramu inakuwa the same?nikitumia haraka napata haraka.
Waambie wadau watafute kitabu kinaitwa secret.
Waelewe vizuri secret to money ilivyo.
nafikiri Inategemea unatumiaje.........au hata matumizi haramu inakuwa the same?