Hii unaikuta Tanzania peke yake

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Ni Tanzania pekee unamtambulisha rafiki yako kwa rafiki yako mwingine then boom wanakua mabestie kukuzidi alafu wanaanza kukusema wewe na ukoo wako mzima.
 
Mbona hakuna ubaya wakiwa mabesti zaidi. Inawezekana chemistry yao ikaelewana zaidi kuliko kwako na isitoshe kwani ukiwa na rafiki ndio unakuwa na hatimiliki kuwa asiwe na besti mwingine mkuu?

Labda shida hapo kweye kukusema.
 
Wakielewana zaidi yako shida inaanzia hapo hapo lazima usemwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…