Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
SASA wewe mla urojo wa zenji, Tanganyika inakuhusu nini sasa? nyamaza watu wawafanye wilaya ama la sote tufutike ibaki Tanzania.Ukiwa Mtanganyika unakuwa ni raia wa Uingereza Automatic, wengine Utanganyika wetu ulitusaidia sana.
Sasa Muingreza kawachoka, mtamlaumu bure Nyerere, mchawi wenu ni Muingereza.
watu waachwe wajadili kwa uhuru, mambo ya kutiana hofu kama kipindi cha nyerere ndio huleta majipu yakipasuka inakuwa kama libya. mtu kama kiongozi zuia siku zote kuminya uhuru wa kuongea, watu wasipoongea utajuaje kilichopo mioyoni mwao? kwanza wanakuwa wanakusaidia kujua nini yakupasa kufanya.Mijadala ifanyike bila ya hofu ifanyike kila mahali
Serikali tatu au Serikali ya mkataba nk.
CCM imekuwa ikituaminisha kuwa ni taboo kujadili Muungano tuutakao hizi sio zama za giza.
Mfumo wa Serikali tatu hauna ubaya wowote.watu waachwe wajadili kwa uhuru, mambo ya kutiana hofu kama kipindi cha nyerere ndio huleta majipu yakipasuka inakuwa kama libya. mtu kama kiongozi zuia siku zote kuminya uhuru wa kuongea, watu wasipoongea utajuaje kilichopo mioyoni mwao? kwanza wanakuwa wanakusaidia kujua nini yakupasa kufanya.
na kila mtu awe rais kwenye nchi yake, na pia, kila mtu amiliki ardhi kwao tu, leo mzanzibar anamiliki tanganyika ila mtanganyika hawezi kumiliki zanzibarMfumo wa Serikali tatu hauna ubaya wowote.
Maraisi wa Tanganyika na Zanzibar wawe magavana, halafu tuwe na Raisi wa Jamhuri ya muungano vipi hapo?na kila mtu awe rais kwenye nchi yake, na pia, kila mtu amiliki ardhi kwao tu, leo mzanzibar anamiliki tanganyika ila mtanganyika hawezi kumiliki zanzibar
cha muhimu kila mtu ameneji mali za kwenye nchi yake. mali za Tanganyika ziwe managed na WAtanganyika na kupangiliwa na watanganyika, na mali za zanzibar hivyo hivyo.Maraisi wa Tanganyika na Zanzibar wawe magavana, halafu tuwe na Raisi wa Jamhuri ya muungano vipi hapo?
Sio hiyo.Jamaa ameumizwa sana kwasababu tu alitaja Tanganyika. Imagine, tangu enzi Wazanzibar wapo huru kujivunia Zanzibar na kupigania Zanzibar, wana serikali yao, bunge lao, lakini mtu wa Bara akitaja Tanganyika anachokutana nacho ni hatari tupu.
Hutakiwi kujiita mtanganyika, ila wengine wajiite tu wazanzibar. nyerere aliweka uoga wa ajabu sana na bado watu wanaishi kwenye kivuli hicho.
Imefika muda sasa kilichopo mioyoni mwa watanganyika kijadiliwe kwa uwazi na muafaka ufikiwe.
View attachment 2683737