Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Aisee hii sasa hatari huko middle income land...Wanafunzi huko middle income kenya wanaogelea kila asubuhi na jioni ili wavuke mto kwenda shule.
Aibu zingine duh
Ngoja waje +254 watoe mapovu ya nguvu!!Wanafunzi huko middle income kenya wanaogelea kila asubuhi na jioni ili wavuke mto kwenda shule.
Aibu zingine duh
Hio ya river inasolvika na jamii hio ikiamua