data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Sijui kwakweli kama hawa jamaa walikuwa serious.. Au huenda walipishana lugha. Nafikiri hawakuelewana kabisa..
Kinachoimbwa hakirandani hata kidogo na video
Wimbi mzuri kweli..ila humu ndani imejaa misambwanda tu.
Hans labda utujibu. Au ulipewa mtonyo mbuzi..