Elections 2015 Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?

Swali ni nini?


Uliza swali kuhusiana na mada hii? Wengi madarasa ya fasihi hatukuhudhuria

Ni kweli Mkuu,wengine tulihudhuria Ma integration,Linear calculus,dijicastra algorithm etc,nadhani wanayasansi watakua wamenipata.
 
Naogopa sana kumuhusisha Mungu kwa dhamira ya kujifurahisha au kujifari. Tumepoteza heshima juu ya Muumba wetu. Nashauri tujitazame upya nafsi zetu, tumzungumzie Mungu kwa nsfasi yake na siyo kufanya mzaha.
 
Masikitiko yangu kwa lowassa ,Uraisi ulishaukosa alipokubali zigo la RICHMOND
 
Sehemu ya hao ni "bendera fata upepo", tuliyaona kwa mrema, kikwete na leo mamvi....

Akipotezwa huyo jamaa yao na wao watahama...
 
Jumapili ya leo, ni miezi miwili imepita tangu nilipotoa wazo hili kulitafakari, leo pia nimepata nafasi kidogo ya kulisoma tena na kulitafakari, kwa niliyoyasikia yatakayokwenda kutokea ndani ya saa 24, naendelea kusisitiza wale msioamini maneno ya unabii, hadi utimie, endeleeni tuu kutoamini kama alivyofanya Tomaso, mpaka mshuhudie, wenye wengine wenye imani ndogo tuu kama chembe ya haradali, wanatosha kutufikisha kwenye nchi ya ahadi!.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu!,

Jumapili njema!.

Pasco
 
Mkuu , kiukweli humu ndani ya jf, ma real thinkers sio wengi kivile, ila wewe ni mmoja wa hao wachache tulionao!.

Ndani ya saa 48 nitarudi kukupongeza kwa kupatia!.

Pasco
 
Kumkata huyu jamaa CCM ITALIA NA LAZIMA ILIE MILELE NA MILELE, THEIR PAIN WONT BE HEALED

 
Mkuu Augustine Moshi, fuatilia kisa cha mtu aliyeitwa Saulo na MtumE Paulo!.

Pasco
 
Yaani short and clear ...!!!

Lowassa + UKAWA ni gharika kubwaa...

CCM itakuwa kama haikuwepo kabisa..subirieni
 
Vox Populi Vox Dei inaendelea!.
Leo ni Mwanza!.


Akawaambia "mkamwulize yeye ndiye ajaye au tumtegemee mwingine?"

Yesu akawajibu "kamwambieni viwete watembea na vipofu wanaona"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…