Kwa wale wazee wa bata; hii wiki ni ya kukumbukwa sana maana kwa wale tuliokuwa hatujafunga tulikuwa wapweke sana kila kiwanja kilikuwa kimepoa: ila tokea eid todate mambo ni motoooooo..... hii weekend & eid was fun kwa kweli..... moja ya wiki ambayo imekuwa fupi sana ni hii from jumatano; alihamisi ijumaa; jmosi & jpili. Ndo naelekea ATM kujua kama mwezi huu utaisha vizuri au kuna haja ya kamkopo😳😳.. wapi kulibamba wakuu....night clubs & beach dance