Hii ya Azam iwe football am sio sports am

Hii ya Azam iwe football am sio sports am

KULIMGA

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Habari JF.
Hawa jamaa siku za jumamosi na jumapili saa 4 hivi wana kipindi eti wanaita sports AM wakati muda wote wanajadili mpira wa miguu tu. Nadhani wana JF mtanisaidia maana ya neno sports na usahihi wa jina la kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom