K KULIMGA Member Joined Oct 20, 2018 Posts 6 Reaction score 1 May 20, 2019 #1 Habari JF. Hawa jamaa siku za jumamosi na jumapili saa 4 hivi wana kipindi eti wanaita sports AM wakati muda wote wanajadili mpira wa miguu tu. Nadhani wana JF mtanisaidia maana ya neno sports na usahihi wa jina la kipindi hiki.
Habari JF. Hawa jamaa siku za jumamosi na jumapili saa 4 hivi wana kipindi eti wanaita sports AM wakati muda wote wanajadili mpira wa miguu tu. Nadhani wana JF mtanisaidia maana ya neno sports na usahihi wa jina la kipindi hiki.
X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 May 20, 2019 #2 Wale wa clouds fm wana Sports extra wanazungumziaga na michezo mingine?