johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Njia sahihi ya kushusha Bei,flood the market,,
Yaani Supply izidi demand
Mh Hasunga jana ameliambia bunge kwamba kuna tani zaidi ya 20,000 melini zinakuja na tani nyingine 500 kutoka SA zinavuka mpaka wa Kasumulu hivyo tatizo litaisha soon!Njia sahihi ya kushusha Bei,flood the market,,
Yaani Supply izidi demand
Chadema wanauza sukari?
Hii ni vita mkuu!Yohana, msako wa sukari mpaka Jwtz wanahusishwa? Kwani kuna watu wameficha Ak 47 majumbani kwao?
Kana wenye viwanda vya sukari ndo wame monopolise kuimport hiyo sukari,tatizo halitoishaMh Hasunga jana ameliambia bunge kwamba kuna tani zaidi ya 20,000 melini zinakuja na tani nyingine 500 kutoka SA zinavuka mpaka wa Kasumulu hivyo tatizo litaisha soon!
Tatizo lako wewe ni chuki. Sukari limekuwa ni tatizo la muda mrefu wala sio kwenye utawa wa JPM tu. Umesahau kwa nini Marehemu Iddi Simba alijiuzuru sababu ya nini?Kwa umri wangu nilikuwapo Dar es Salaam mwaka 1982-84 wakati wa kipindi cha maduka ya kaya. Hicho ndiyo kipindi tulikuwa tunapanga foleni ya sukari, mchele nk. Mzee Ali Hassan Mwinyi akaingia mwaka 1985 akafanya soko huria la biashara. Kwamba kila mwenye mtaji alete biashara yeyote kwa kufuata sheria. Ndiyo ikawa mwisho wa maduka ya kaya na kuvaa sulfate badala ya nguo na biashara ya mitumba ikashamiri. Hali iliendelea kuboreshwa kadri miaka ilivyokwenda mbele na BWM naye akapokea kijiti akaendeleza. Naye JK hivyo hivyo akazidi kuifanya Tanzania nchi ambayo ni mahali pazuri pa kuishi. Huyu JIWE kibwengo wa Kinywarwanda ameturudisha nyuma miaka 50 kutuletea foleni ya sukari. Mwaka 2016 alivuruga kabisa biashara ya sukari kwa kuwaingilia importers na kuwaita mafisadi. Na mwaka 2018 akaharibu biashara ya korosho na mwaka 2020 anashindwa kusimamia ugonjwa wa COVID 19
Hivi kweli Serkali haina mambo ya muhimu hadi kuanza kufukuzana na wafanya biashara wa sukari? Mara Morogoro kuna foleni ya sukari kwenye maduka ya Abood
Jamani CCM leteni mtu mwingine atawale huyo muacheni Chato awe Rais wa huko. Mbona tayari anayo Airport na traffic lights na sebule ya kuwaapisha kina Mwigulu Nchemba
Tulikataa kununua sukari ya zanzibar kile kiwanda cha mahonda ha ha ha ha saizi inakula kwetu sema kwenye hivi viwanda vya sukari kuna hisa za wakubwa ndio mana wanavibeba lakini havibebekiTunahangaika kulinda viwanda vya ndani ambavyo havilindiki? Watu gani hawa kila wakati ni full excuses tu? Tena zile zile mwaka kwa mwaka... Ubovu wa mitambo, sijui malighafi!!!! kwa nini tutese mamilioni ya Watanzania kwa Maelf?
Leo nimezunguka na elf 10 sijapata hata robo.... Ajabu hapo Zanzibar kilo moja ni sh 2,000 na ipo tele...
Hao wanajeshi ni wale waliopo katika ofisi ya mshauri wa mgambo wa wilaya.Wanaongoza wanamgambo,mkuu wa wilaya au mkoa Hana mamlaka ya kuliamuru Jeshi.Amri yake yeye ni Kwa polisi,na jeshi la mgambo.Yohana, msako wa sukari mpaka Jwtz wanahusishwa? Kwani kuna watu wameficha Ak 47 majumbani kwao?
Lakini si wanajeshi wa Jwtz?Hao wanajeshi ni wale waliopo katika ofisi ya mshauri wa mgambo wa wilaya.Wanaongoza wanamgambo,mkuu wa wilaya au mkoa Hana mamlaka ya kuliamuru Jeshi.Amri yake yeye ni Kwa polisi,na jeshi la mgambo.