Hii ya DC wa Igunga kuwasaka walanguzi wa sukari mitaani akiwa na migambo imenikumbusha vita vya Kagera

Hivi mshauri wa mgambo si huwa mmoja tu au

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mmoja,lakini ana wasaidizi.Maana ile ni ofisi ya mshauri wa mgambo,Kwa hiyo Kuna mambo ya kiutendaji.Mfano katika mkoa Kuna mshauri wa mgambo wa mkoa ambaye ni afisa wa jeshi wa cheo cha luteni kanali.Hivyo lazima awe na wasaidizi kuanzia mkoani hadi wilaya.
 
Nani aliwapa amri ya kusaka wauza sukari wa bei isiyoelekezi?
Jibu ni mkuu wa wilaya,akiwa na kamati ya ulinzi na usalama.Ambayo ina mshauri wa mgambo,mkuu wa polisi wilaya(OCD),mkuu wa idara ya uhamiaji wilaya,mkuu wa magereza wilaya,afisa usalama wa wilaya(DSO),na mkuu wa takukuru wilaya.
 

Jibu ni mkuu wa wilaya,akiwa na kamati ya ulinzi na usalama.Ambayo ina mshauri wa mgambo,mkuu wa polisi wilaya(OCD),mkuu wa idara ya uhamiaji wilaya,mkuu wa magereza wilaya,afisa usalama wa wilaya(DSO),na mkuu wa takukuru wilaya.
Jibu ni mkuu wa wilaya.
 
Jiwe alikurupuka kama alivyokurupuka kwenye biashara ya korosho. Na hakuna wa kumshauri vinginevyo
 
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye....
 
Ila wenye hekima humfahamu mpumbavu.
Mpumbavu hajijui kama yeye ni mpumbavu ila wengine wote ndiyo wanamjua. Rudi kwenye post zako kwenye thread zote nenda ukaone jinsi watu wanavyokunanga ndiyo uyajuwa kuwa MPUMBAVU ni wewe. Halafu pitia post zangu ukaone madini yanavyoteremka na likes ninazopata.
 
Ahaaaaaaa. WanaCdm wanananga au hawataki ukweli.
 
Kumtukana Rais kumbe ni madini? Hongera sana
 
Kwani siku hizi malawi haizalishi sukari kama zamani?kama tatizo ni kufungwa kwa mipaka basi wao walete mpaka mpakani waweke kisha madereva wa bongo wapokelee mpakani tatizo liko wapi kwanini kukimbizana na bei elekezi wakati unaweza kushusha automatic kwa kuongeza supply
 
Waambie wasiongozane wengi kuna corona
 
Hii awamu imefeli kwenye masuala mengi ikiwemo hili la sukari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…