The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Hata hivyo. Bado siamini Kama uwoya kafata hela kwa dogo janja.Sikuhizi wananjaa sana eh!?
Kuna njia mbili ya mtu kuonekana ameolewa na hatuwezi sema mtu ana bahati, mfano ukienda kuloga ili umpate mwanaume unayemtaka ukapewa kitu cha kumtupia akapatikana akaamua kukuchukua utasema ni bahati, nyingine msichana akimmendea mwanaume kwa nguvu zote na kutumia marafiki wa mwanaume ili aolewe haswa wanaume wenye ushawishi wa kuongea na mwanaume husika na akakubali kufanya kama alivyo shauriwa utasema iyo ni bahati. MKIWA WACHA MUNGU, MNAOANA MNAZAA WATOTO HADI MNAZEESHANA HAPO TUTASEMA NI BAHATI YA KUOLEWA na sio kuoelwa na kuachika kuwa mtalaka halafu unasema ni bahati ya kuolewa hamna lazima kunatupa majibu kuwa kuolewa kule kulikuwa na shinikizo flani haikuwa mapenzi ya mwenyezi Mungu. kwa hiyo bahati ni yale mapenzi ya mwenyezi Mungu. sasa time will tell hata kwa ndoa hii yakwake ya pili tutajua ni bahati au mchongo ulitengenezwa mambo yafanyike. sasa kama ni bahati amzalie watoto 3 au zaidi ili tuone na tuamini kuwa ni dhamira za kweli za kuolewa na bahati yake.Helo wana nzengo wa humu jukwani. Hii tuite ni bahati kwa mwana dada Irene uwoya kuolewa mara mbili tena kihalali kabisa. Ya mwanzo kanisani na sherehe ya kufa mtu na hii sasa ya kiislamu. Kwa wadada ambao hawajapata bahati ya kuolewa huko bongo movie wanajisikiaje mwenzao kuolewa mara mbili wakati wao hata ya mkeka tuu hawajawahi. Hii inaonyesha mwanadada anamvuto sana au ndo vyuma vimekaza watu wanatafuta pa kujisitiri. Karibuni
SureKuna njia mbili ya mtu kuonekana ameolewa na hatuwezi sema mtu ana bahati, mfano ukienda kuloga ili umpate mwanaume unayemtaka ukapewa kitu cha kumtupia akapatikana akaamua kukuchukua utasema ni bahati, nyingine msichana akimmendea mwanaume kwa nguvu zote na kutumia marafiki wa mwanaume ili aolewe haswa wanaume wenye ushawishi wa kuongea na mwanaume husika na akakubali kufanya kama alivyo shauriwa utasema iyo ni bahati. MKIWA WACHA MUNGU, MNAOANA MNAZAA WATOTO HADI MNAZEESHANA HAPO TUTASEMA NI BAHATI YA KUOLEWA na sio kuoelwa na kuachika kuwa mtalaka halafu unasema ni bahati ya kuolewa hamna lazima kunatupa majibu kuwa kuolewa kule kulikuwa na shinikizo flani haikuwa mapenzi ya mwenyezi Mungu. kwa hiyo bahati ni yale mapenzi ya mwenyezi Mungu. sasa time will tell hata kwa ndoa hii yakwake ya pili tutajua ni bahati au mchongo ulitengenezwa mambo yafanyike. sasa kama ni bahati amzalie watoto 3 au zaidi ili tuone na tuamini kuwa ni dhamira za kweli za kuolewa na bahati yake.
Kuolewa mwisho mara ngapi kwaniHelo wana nzengo wa humu jukwani. Hii tuite ni bahati kwa mwana dada Irene uwoya kuolewa mara mbili tena kihalali kabisa. Ya mwanzo kanisani na sherehe ya kufa mtu na hii sasa ya kiislamu. Kwa wadada ambao hawajapata bahati ya kuolewa huko bongo movie wanajisikiaje mwenzao kuolewa mara mbili wakati wao hata ya mkeka tuu hawajawahi. Hii inaonyesha mwanadada anamvuto sana au ndo vyuma vimekaza watu wanatafuta pa kujisitiri. Karibuni
Mwacheni dogo mjanja ajilie vitu jaman hii dunia tunapita tu
Kweli unajua kucheza na hisia zangu si kwa ahadi ile Cajojo kadogoHahahha haha😀
Hii ya sasa ni batili, amejifurahisha tu mrembo.Sielewi kwa nini kaolewa mara ya pili wakati mumewe Ndiku hajafa