Wizara ya Afya imevalia njuga zahanati zisizokidhi viwango na kwa kiasi kikubwa imeathiri zahanati zinazohudumia watu maskini waliochoka haswa!!
Uttata ni huu!
Je, hawa watu wanaokagua na kufungia zahanati wanaweza kutoa tiba/hospitali mbadala wakati hizo lizizofungwa zikiwa kwenye maboresho?
mazingira ya hizo zahanati kwa kweli inatisha!lakini tufanyaje kama serikali inashindwa kutoa huduma muhimu