Leo nilikua naangalia kipindi flani katika maisha magic bongo msanii billinasi amekiri kuwa rasta alizoweka saizi kanunua kwa binadamu aliezikata
Swali je
1) kuna uwezekano wowote wa kupata magonjwa
2) kuiga tabia na matendo za mwenye rasta izo kama walivosema wahenga akili ni nywele kila tyu anazake
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali je
1) kuna uwezekano wowote wa kupata magonjwa
2) kuiga tabia na matendo za mwenye rasta izo kama walivosema wahenga akili ni nywele kila tyu anazake
Sent using Jamii Forums mobile app