Hii ya kununua rasta za binadamu nakuziunga kwa mtu ili nae awe nazo veep?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Leo nilikua naangalia kipindi flani katika maisha magic bongo msanii billinasi amekiri kuwa rasta alizoweka saizi kanunua kwa binadamu aliezikata

Swali je

1) kuna uwezekano wowote wa kupata magonjwa

2) kuiga tabia na matendo za mwenye rasta izo kama walivosema wahenga akili ni nywele kila tyu anazake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…