Hii ya Kutangaza Kwamba Kondo la Nyuma la Wanawake Kuzalisha gesi ya Kupikia Ni ubunifu au Udhalilishaji?

UUc
Uchaguzi ume kalibia
 
Nitaondoka na kondo langu.
Ila jamani wakati wanatoa kondo utadhani wanang'oa mti .jamani kuzaa sikieni Tu
Hivi huwa halitoki kwa kawaida kwa kulipush bali hadi livutwe namna hivyo?
 
nilichomwa nusu,,,walivoona nna wenge wakazimisha
Ahaaa pole.me sitakubali tena nusu .aisee wanavotoa mtoto unasikia kabisa sio maumivu ila Ile mtikisiko unatoa hofu kama wanang'oa mti .Ile mizizi imejishikaaaa kwenye udogo inavoachia kikikikiki .Acha kabisa.japo wanakuambia usishtuke ila inatia hofu
 
enhee ivo ivo namim aseee,,sasa mimi dogo alianza kutoka kichwa akawa kwenye cervix aloooh πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ hata ganzi ilikaa pemben kwanza,,uzaziiii shkamoo,,afu eti kondo watengenezee gesi ila watuuuu
 
Sasa hivi tutakuwa tunatoka labour na mtoto na kondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…