Hii ya Kutangaza Kwamba Kondo la Nyuma la Wanawake Kuzalisha gesi ya Kupikia Ni ubunifu au Udhalilishaji?

Chukueni hayo makondo mkawele kwenye transfoma iwe mbadala wa mafuta ya transfoma Ili kukomesha wizi wa mafuta
 
Haya ya nne Kuna sentensi "tunatamani yatoke mengi ili tuweze kuzalisha nishati zaidi" Nimejisikia natetemeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…