Hii ya leo imenisikitisha sana! Hivi wanaume tukoje jamani?

[Hapo kwenye red kwani una jinsia gani ?]

Mi pia ni mwanaume aisee, I'm just feeling guity the way other men treat ladies, so inhumane!!
 
Inavyoelekea tigoism ni tamu sana kwa mrukiaji eeh? Hebu aliyewahi kuicharaza anipe jibu.

Mh!...
Ukipata jibu unataka kujaribu au??? Achana na haya mambo ya sodoma na gomora bana... Yalisababisha watu wakachomwa moto...lol
 
Mh!...
Ukipata jibu unataka kujaribu au??? Achana na haya mambo ya sodoma na gomora bana... Yalisababisha watu wakachomwa moto...lol

Wewe kama ulisharukia tigo uka-enjoy au ikaku-bore si uniambie bwana? Achana na mambo ya Sodoma na Gomora; wale walioteketezwa na gharika wakati wa Nuhu walifanya nini? Na Tsunami je?, juzi tetemeko Japan n.k. Tuayaache hayo tutapoteza mada. Nashawishika kuamini kwamba tigoism ni bomba, maana imekuwa ni ishu kwenye mijadala mingi siku hizi. Niliwahi pia kusikia kwamba jamaa mmoja ambaye sasa amefungwa kwa matumizi mabaya ya madaraka alikuwa anawacharaza tigo wakinadada kisha anawahonga starlet nyekundu!!!!! Sasa mkuu kwa nini nisiwe na hamu ya kujua kuhusu huduma inayogharimiwa hivyo?? Mtu kafukuza mke, kisa tigo ya HG; mchezo?? Kama ulishakula niambie bwana uliji-feel vipi.
 

Mi naamin uzuri / ubaya wa tigoism anaujua aliyewah kujarb huo mchezo.. Hapa kuna atakayekwambia ni mbaya, mwingine atakuja atakwambia ni nzuri, utashika lipi? Angalia km unavyosema mume kaacha mke kwasababu ya tgo ya h'g, kwake huyu mume tgo ni nzuri dats why hajaona hatari kuachiwa watoto na mkewe. Mi sina jibu la kukupa coz sio mwanachama wa huo mtandao... Endelea kusubr labda watakuja wenye uzoefu kukupa majibu ya kuridhisha...
 

Poa Sweetlady; your words are so soothing and sweet, just like your name, nasubiri aliyewahi kucharaza tigo anijuze!!!!
 
Tg ni tamu sana,hasa uikute haijaguswa,mtumiaji awe anajua haswa kuitumia,mwenye nayo atafurahi..kwanza kunaki2 kinaitwa asali na champegne yaani we acha tuu.mwenye tg atafurahi,niliwahi jaribu kwa mmama mmoja wa makamo miaka iyo ya 2005,mmama alikuwa na 45yrs usipime..nilikuwa na 30
 

Dunia imekwisha!
Mmama 45yrz?? Mi nilidhani haya mambo ni ya vijana tu??
Kweli nimeamini ukistaajabu ya musa utaona ya firauni..
 
mama kakosea,asingeondoka kwake angemwambia huyo mumewe na beki tatu waondoke wakaanzishe nyumba yao ya wasodoma then abaki na watoto wake!! mimi jamani hata nipatwe na nini wanangu siwaachi hata njaa tutalala wote,wanawake jamani msiwe wajinga kuacha nyumba zenu na watoto wahangaike hebu kumbukeni uchungu wa kuzaa mbona mimi huwa siusahau?wanangu ndio wanaonifariji nitawaachaje kwenye mikono ya wasodoma kama hao? YESU TUHURUMIE!!!!!
 
Huyo baba analaana sio bure,pole zake huyo mama mungu atamsaidia
Aisha siyo laana tu hata kizazi cha huyo baba kitakuwa kimeingia dosari kwani hata maandiko ya Mungu yanakataza kufanya hayo mambo kinyume na maumbile. Mungu amlinde huyu mama kwa haya yaliyomkuta.
 
Mimi kwa mtazamo wangu unaweza kuta jamaa katumia hicho kizingizio cha kumtaka kinyume na maumbile ile mmkewe abwage manyanga, so unaweza kuta jamaa hajawahi hata siku moja kuomla tigo huyo h/g.

Kwa upande mwingine nampa polee yake huyi mama
 
Mungu ana kazi ya ziada kuliko chochote. Hata huyu pumbavu wa kiume nae Mungu anashugulika nae.? Pole zao wote wala tigo, Mungu yu aja .
 
pole sana dada yangu kwani wanaume hawana fadhila kabisa pamoja na kumzalia watoto wawili bado hatosheki ; kamwe usijizalilishe mtumaini mungu utaona mafanikio yake , tuone hiyo tigo itampa faida gani.
 
i wsh wanaume wote wawe na moyo na akili km za kwako.

may god bles ya
I was trying to imagine, sasa ni dada yangu amerudi ghafla home, wote mnashauku ya kujua kulikoni halafu mnakujaambiwa sababu ni hiyo ya tigo, yaani sijui ndg, jamaa, na marafiki mliopo kwenye kikao hicho mtajisikiaje!!! (hata njemba ilisemea kikaoni), sasa fikiria hiyo aibu jamani!!
 
mh.. huyo baba balaa anaogopwa hata na shetani.
 
Mh!... Ukipata jibu unataka kujaribu au??? Achana na haya mambo ya sodoma na gomora bana... Yalisababisha watu wakachomwa moto...lol
Mkuu hapo umenena teh! Sijui kwa nin bhana watu wanapenda hiyo maneno teh!
 
Sijaelewa kwanini wanaruka ukuta nyumba hiyo haina mlango ?
 
Yesu, uya uyaYesu uya uyaYesu uya..uyaaaaaIkunda msie wuyanenyiYesu uya uya..woimeny!
Yesu hataki kuuya...anaogopa kuzimia akifika duniani na kutuona kwa karibu zaidi!!
 
Tigo ni excuse tu ya kuhalalisha uzinzi.
Kwani ukiwa unatongoza unasema "dada mi napenda sana nikale tigo yako"?
Huyo jamaa aache kuzuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…