Kesi ipo ndio ya kuua.Lakini katika uchambuzi wakizingatia mens lea na intetion na wakizingatia zaidi elements za Murder ambapo watalalia kwenye INTENTION yao zaidi itabadilika kuwa kesi ya kuua bila kukusudia na adhabu yake itakuwa kati ya kusamehewa hadi kifundo chini ya miaka 3 kama itaonekana una ezembe.KAMWE SI MIAKA 15-30.