Hii ya mtoto wa Trump kumwomba baba yake aisamehe Africa ni kama tu Wenje alivyojaribu kumsaidia Tundu Lisu alipwe Madai yake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtoto wa Trump amemuomba baba yake aisamehe Africa kwani Wananchi Wao watakufa wakikosa misaada

Ingekuwa Tanzania mtoto wa Trump angesakamwa kweli kweli πŸ˜‚
 
Mtoto wa Trump amemuomba baba yake aisamehe Africa kwani Wananchi Wao watakufa wakikosa misaada

Ingekuwa Tanzania mtoto wa Trump angesakamwa kweli kweli πŸ˜‚

Aisamehe Afrika?! ? Kwani Afrika imemkosea Nini Trump?

Acha Trump ainyooshe Afrika ili Watu Weusi wa Afrika wapate akili nzuri ya kuweza kujitegemea wao wenyewe.
 
Mtoto wa Trump amemuomba baba yake aisamehe Africa kwani Wananchi Wao watakufa wakikosa misaada

Ingekuwa Tanzania mtoto wa Trump angesakamwa kweli kweli πŸ˜‚
Inabidi DOGE imchunguze,yupo mwafrika au waafrika waliokwisha penyeza mlungula,yaweza kuwa hata ahadi ya kuipatia Amerika rare minerals.Musk ingia mzigoni chap kwa haraka tunataka efficiency duniani na sii Amerika pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…