Nadhan ni magari imara kwa utafiti walofanya kwa msaada wa watu wa marekani, na yanakimbizwa vibaya! Leo naibu spika nimepishana nae nzega ile spidi ni noma.
Asilimia 80% ya magari yote Tanzania ni toka Japan.....na 90% ya hayo yakiwa TOYOTA....ndio maana Japana haiachi kutujengea barabara tupitishe magari yao...si ajabu kwa serikali nayo kuwa na hali hiyo....jionee na uhesabu mwenyewe