Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wameamua kutembeza bakuli kiaina kuchangia usajili,waliijumuisha na Yanga ila Yanga machale yakawachezaSio kwamba BOSS MO ni bahiri?
Yanga inasajili kutokana na mahitaji ya mwalimu,mwalimu akimtaka mchezaji Yanga itaingia kwenye vita hiyo hata atakiwe na al ahly,sio makolo tu,sasa hivi tupo kwenye maongezi na striker wa angola so na yule mlimtaka!?Tatizo kila timu hapa bongo inatumia brand ya Simba kutafutia kiki ili nayo ipate kuzungumziwa
Huu mchezo ulianza na Yanga, wanatengeneza drama kuwaaminisha mashabiki zao kuwa mchezaji fulani Simba inamnyatia kumsajili ili wao Yanga wakimsajili mashabiki wafurahi kuwa wamewazidi kete Simba
Sasa na hizi timu zingine zikiona hili jambo nazo zinajikuta zinafata mkumbo
Tusisikilize maneno ya viongozi wa club ambao wamehojiwa na vyombo rasimi vya taarifa, kisha tukusikilize wewe mbea kwakua umetaka?Usiwasikilize hao wewe...!
Nisikilize mimi ambaye niko kwenye eneo husika la kupata taarifa za ndani.
Kwamba mna hela kutunishiana misuri na vilabu vya kasikazini vinvyoingiza mabilioni kupitia gatepass tu? Ama kweli mmejazwa ujinga.[emoji1][emoji1].Yanga inasajili kutokana na mahitaji ya mwalimu,mwalimu akimtaka mchezaji Yanga itaingia kwenye vita hiyo hata atakiwe na al ahly,sio makolo tu,sasa hivi tupo kwenye maongezi na striker wa angola so na yule mlimtaka!?
Umemaliza kabisaKwamba mna hela kutunishiana misuri na vilabu vya kasikazini vinvyoingiza mabilioni kupitia gatepass tu? Ama kweli mmejazwa ujinga.[emoji1][emoji1].
Uchumi wa Ahly kama taasisi (sio mtu binafsi) ni zaidi ya ule wa boss wenu plus MO.
Fikiria ikiwa wameweza kuingiza $700K kwa games tu inawapa shida gani kufikisha $5M ambayo GSM au MO hawawezi kwa nazo wao binafsi kwaajili ya mchezaji mmoja.
Tz bado mna safari ndefu sana.View attachment 2268465
Propaganda hizi haziwezi kuwasaidia hata kidogo. Muda ni mwalimu mzuri sana.Walianza Berkane. Wakafanya umafia wao kwa Adebayor.
Wakafuata Yanga SC. Wakafanya umafia wao Kwa Aziz KI.
Akaja Rais wa Vipers SC akafanikiwa kuwabania Ceaser Nzoki. Hata ikawafanya waende Nigeria kum’beba OKRAH.
Kocha Stuart naye amewakataa kwa kigezo cha kushindwa kumuweka wazi kiasi cha bajeti ya usajili cha klabu kwa dirisha hili.
Nasikia hata huyo Sylla wa Horoya nae huenda wakamkosa kwa sababu wako kwenye ushindani na kigogo mmoja wa kaskazini huko.
Leo hii nao watoto wadogo wa mjini aka walima Alizeti wamefanikiwa kuingilia kati mazungumzo ya Habibu Kyombo na kufanikisha usajili wake.
Inasemekana kuwa Simba SC walikuwa wanapanga kumpa mchezaji huyo dau dogo kwakuwa alikuwa free agent na pili hakuwa akihitajika na timu nyingine kubwa ya hapa nchini.
Hizo taarifa zikasambaa si tu miongoni mwa watu wa karibu na Kyombo bali pia hata zikamfikia yule Mbunge aliyemsajilisha Fei Toto pale Singida United (Enzi hizo).
Huyo bwana baada ya kupata taarifa hizo akapandisha dau nono kwa mchezaji kama signing fee yake pia akamuahidi mshahara mnono ambao Simba SC hawakuwa tayari kumlipa.
Dogo akatamanika na akizingatia ana vina saba na U’yanga akaona asihangaike kwenda kuichezea timu ambayo hana mapenzi nayo ya dhati kutoka moyoni kwa ujira mdogo.
Msimu huu hawa jamaa wamechanganyikiwa mno.
Siamini na wala sitaki kuamini ninachoona kinaendelea kwenye kambi yao.
Usidanganyike na Washamba ( Mambwiga ) na Wageni katika Soka la Tanzania Mkuu. Simba SC ikimuhitaji Mchezaji yoyote ndani ya hivi Vilabu vidogo, vya Kimkakati wa Kisiasa na Masikini kama hiki ulichokitaja ( kinachojadiliwa ) kamwe haiwezi Kumkosa.Walianza Berkane. Wakafanya umafia wao kwa Adebayor.
Wakafuata Yanga SC. Wakafanya umafia wao Kwa Aziz KI.
Akaja Rais wa Vipers SC akafanikiwa kuwabania Ceaser Nzoki. Hata ikawafanya waende Nigeria kum’beba OKRAH.
Kocha Stuart naye amewakataa kwa kigezo cha kushindwa kumuweka wazi kiasi cha bajeti ya usajili cha klabu kwa dirisha hili.
Nasikia hata huyo Sylla wa Horoya nae huenda wakamkosa kwa sababu wako kwenye ushindani na kigogo mmoja wa kaskazini huko.
Leo hii nao watoto wadogo wa mjini aka walima Alizeti wamefanikiwa kuingilia kati mazungumzo ya Habibu Kyombo na kufanikisha usajili wake.
Inasemekana kuwa Simba SC walikuwa wanapanga kumpa mchezaji huyo dau dogo kwakuwa alikuwa free agent na pili hakuwa akihitajika na timu nyingine kubwa ya hapa nchini.
Hizo taarifa zikasambaa si tu miongoni mwa watu wa karibu na Kyombo bali pia hata zikamfikia yule Mbunge aliyemsajilisha Fei Toto pale Singida United (Enzi hizo).
Huyo bwana baada ya kupata taarifa hizo akapandisha dau nono kwa mchezaji kama signing fee yake pia akamuahidi mshahara mnono ambao Simba SC hawakuwa tayari kumlipa.
Dogo akatamanika na akizingatia ana vina saba na U’yanga akaona asihangaike kwenda kuichezea timu ambayo hana mapenzi nayo ya dhati kutoka moyoni kwa ujira mdogo.
Msimu huu hawa jamaa wamechanganyikiwa mno.
Siamini na wala sitaki kuamini ninachoona kinaendelea kwenye kambi yao.
Usidanganyike na Washamba ( Mambwiga ) na Wageni katika Soka la Tanzania Mkuu. Simba SC ikimuhitaji Mchezaji yoyote ndani ya hivi Vilabu vidogo, vya Kimkakati wa Kisiasa na Masikini kama hiki ulichokitaja ( kinachojadiliwa ) kamwe haiwezi Kumkosa.
Sio kwamba BOSS MO ni bahiri?
Kwanini hutumii ID yako Verified kunijibu? Hongera kwa Kibarua kipya hapo Singida Big Stars FC na natumai kule Sinza wote ni wazima.Mlishapigwa chenga kwa Kyombo.
Ndio maana mmenyoosha mikono mkaamua kukaa cchini na SBS Ili wawauzie.
Walimsainisha kwa signing fee ya Milioni 11.. ila SBS wanawakwangua milioni 38.
Lakini Singida zote hata kama haziko ligi moja ndio za mtu mmoja, au kama Singida ile haipo basi hii ndo ile imekuja kivingineHakuna Singida mbili kwenye ligi moja. Singida ya mwanzo iliporomoka maana ilikuwa kwa ajili ya kampeni za urais. Singida hii imeanzishwa kwa kununuliwa kutoka DTB, nayo ni kwa ajili ya kampeni za urais ujao. Lakini kujibu swali lako, hakuna Singida mbili katika ligi moja
Simba wanakikosi kipana hakuna haja ya kusajiliWakishindwa ku seal deal wanasema sisi huyo hatukumuitaji
.Walianza Berkane. Wakafanya umafia wao kwa Adebayor.