marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
uchwaraSiasa na football bro! Wapi na wapi!Unadhani kwenye Changamoto yoyote ya nchi mfano Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwepo na Rais wa kipindi chochote baada ya hapo asingefurahia kuongozana nae / kushirikiana nae katika changamoto hizo
NB: Hapa naongelea Rais mwenye busara na hekima na sio umimi na kupenda ujiko....
Hahaha kwamba hana jamboHivi karibuni,Sir Alex alienda pia kwenye hoteli waliyofikia PSG halafu PSG wakachezea kichapo.
ππ
Hhahahaha hio ni mitazamo tu na mim huo ndio wakwangu Pep ni kocha wa kwaidaaaaaaaa mnoooooooWewe jamaa ulitakiwa upigwe life ban na moderator kwann unamwita pep ni kocha wa kawaidauchwara
Kwamba kuna watu wanasafiri na timu bila kujua kazi yao ni nini π€£π€£Fitna Zipo Mpaka Huko
Muhimu Nadhani Ushindi Ndiyo Maana Fegurson Yupo
Motivation...., By the way unajua Sir Alex alikuwa at his best wapi ? (Changing Room) kwahio unaweza ukapigwa half time team talk ukarudi ukiwa 110%Siasa na football bro! Wapi na wapi!