Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Nimejaribu kucheki majina ya waliotemwa kwenye first round selection za TCU jina langu halipo lakini nimelog in my Profile utata ukanikumba kwenye Kipengele kiitwacho Selection Status bado zote nimeandikiwa Not yet Processed ilhali wamemaliza 1st round selection hapo imekaaje? Msaada kwa anayefahamu juu ya hyo kitu bt kozi zote niko Elligible.
NAPENDA KUWASILISHA
tulia wote ambao kwenye list waliyotoa hatupo profile zetu zinaonekana hvyo hvyo! So ni hivi kwenye zile course tano ulizochagua umepata moja wapo subiri uonyeshwe umepangiwa wapii! so ndo tusubirie cjui itakuwa linii
hata kwangu pale kwenye my profile zipo coz zote 5 na kwenye selection status nimeandikiwa NOT YET PROCESED ila kinachonipa utata ni pale kwenye SELECTED PROGROM wamenibakishia coz moja tu? Au ndo ipo sahihi? Msaada plz
Weka matokeo yako

mkuu chek nw kwenye selected program haifungukii mbna hyo ya kwako itakuwa system failure nahc! Nachoona kwenye tcu accnt yangu na za marafik zang ambapo sote kwenye listi waliokosa hatupo, tulivo log in ni hv; uki click upande wa PROFILE ukaenda mpaka chin upande wa VIEW SELECTION STATUS tunakuta zile course tano vile vile kama tulivyojazaa zikiwa NOT YET PROCESSED! ukirud kwenye sehemu iliyoandikwa SELECTED PROGRAM haifunguki!!! bt ukija sehemu iliyoandikwa APPLICATION inafungka na inaonyesha baadhi ya course ambazo zimebaki ambazo zinatakiwa kujazwa na wanaojaza second round, so kwa mawazo yangu naona sehemu hyo ya APPLICATION haiwahusu wale ambao majina yao haya ku-appear kwenye waliokosa 1st round japokuwa kwenye tcu accnt zao inafungkaa hio sehemu!! Overrrr
Wapendwa ya kwangu imeniletea yafuatayo,: The requested URL /2/userarea/
selectedprogram.php was not
found on this server. Apache/2.2.15 (CentOS)
Server at cas.tcu.go.tz Port 80
Wapendwa ya kwangu imeniletea yafuatayo,: The requested URL /2/userarea/
selectedprogram.php was not
found on this server. Apache/2.2.15 (CentOS)
Server at cas.tcu.go.tz Port 80