Hii ya vyeti inafanyikaje ili ikubalike?

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,832
Reaction score
2,390
Sasa hivi taasisi nyingi za serikali hutangaza kazi na kuhitaji vyeti kuanzia kidato cha nne na cha sita.
Kama mtu amepotelewa vyeti hivyo na amebakiwa na copy tu, anaweza kufanyaje ili wamuelewe na wamkubali? Au ukishapotelewa na vyeti hahustahiki kuajiriwa na serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…