Hii ya wake wa viongozi wastaafu kuanza kulipwa ni zaidi ya too much

Watu wamekula hadi wamevimbiwa na bado wanataka wale tena hadi wapasuke!
Viongozi wabinafsi sana nchi hii! Hawajali watu wengine wao ni wao tu!
Kuiba wanatuibia halafu bado wanataka wake zao nao watuibie tena!
 
Huyu mama ni selfish na ana tamaa, alipwe kwa kazi gani sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…