Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Haahaaa...uwiiiUkiona mtu mpayukaji ujue ana stress za fedha huyo hasira zipo mlangoni kwa ajili ya ukata.
Tabia ya mtu ni kama nywele, Zari ana katabia ka kuchepuka
Nitake radhi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeandika kwa uchungu utadhan kakuibia mume
Nitake radhi,
98 % kweli kabisaKuna mdada humu alisema wenye mafeza yao huwa hawana mda wa kucoment kabisa ukiona mtu anacoment hovyo hovyo halafu anajifanya ana hela ujue huyo ni KAPUKU tu.....Niemnukuu tu mzee baba.
Mmeo ana mme?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
She made my day walahi
Swafiiii sana walahi
Mimi naona ni 100% au hiyo 2% ni ya wale wenye utajiri wa kibongo? Gari ndogo na nyumba ya vyumba viwili na laki mbili bank?98 % kweli kabisa
Hahahahaha yaaa ndio hivyo,,hiyo nyingine 100 na mimi nikiwemoMimi naona ni 100% au hiyo 2% ni ya wale wenye utajiri wa kibongo? Gari ndogo na nyumba ya vyumba viwili na laki mbili bank?
😀😀😀😀😀 [emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]Hahahahaha yaaa ndio hivyo,,hiyo nyingine 100 na mimi nikiwemo
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Mmeo ana mme?
Hawara❌Hawara ya mtu nakuona ulivyopanic,bana jibu swali,zari kakuibia huyo kigogo?
Pesa ndo kila kitu!
Nyie jitahidini sana kuwakojoza mwisho wa siku sie wenye senti tutawafanyia shopping we na dem wako!
We mkojoze sana tu ila mie ndo nakupangia mda wa kuwa nae!
Moise katumbi acha kula sijui pweza we toa mshiko tu "baba vikima" aendelee kuwakojoza wayaru
Nitumie namba zako PM kuna jambo nataka nikushauriPole mdomo bakuli inaelekea kitandani perfomanbe zero, mimi wangu mbona ananikojoza sana yaani kojoo kama lote na pesa siyo sent kama zako naongelea pesa hapa anazo za kumwaga.
Jitahidi mkuu uwe fit sector zote
No ya wakala ya kutolea nitakupa ila ya kwangu boss hapana, nishauri tu pm nitasoma.Nitumie namba zako PM kuna jambo nataka nikushauri
Angekuwa anafanya yote hayo usingepoteza muda humu kudangaPole mdomo bakuli inaelekea kitandani perfomanbe zero, mimi wangu mbona ananikojoza sana yaani kojoo kama lote na pesa siyo sent kama zako naongelea pesa hapa anazo za kumwaga.
Jitahidi mkuu uwe fit sector zote