Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Naangalia hapa simba Queens na yanga princess,kiukweli yanga haina wachezaji kabisa.
Hivi hapa kuna wachezaji waliotoka nje katika hawa wachezaji? Kama wapo wavunjiwe mikataba warudi kwao. Ni bora kutumia wazawa hata kama ni wabovu kuliko haya magarasa kutoka nje.
Wachezaji hata kupiga pssi 3 hawawezi, kuna wengine wakipata mpira wao wanachofikiria ni kubutua tu.
Mpira wa kurusha sasa yaan mtu anaona kapiga amekabwa badala aanze na huyu ambaye hajakabwa yeye anachoongalia ni mpira urushwe mbele tu.
Kuna kama wachezaji wawili tu hapa ndo wachezaji mmoja ni kiungo amesuka anatumia mguu wa kushoto huu ni mchezaji anaweza cheza hata na wanaume ila waliobaki ni takataka tupu.
Simba wana team nzuri na wanacheza vzr sana, simba wana piga mpk counter attack na zina fika kuna mchezaji wao anavaa namba 4 anasumbua sana kwa kasi na nguvu zake.
Hii team yetu ifutwe tu yanga princess ni mbovu