KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Jun 4, 2021 #1 Aiseee hii chuma kutoka kampuni ya Golden Deer (Newforce) ni hatari Jana imenivutia Sauli zote DRH na DTF (Scania 95- 310) na sio mara moja kuziburuza Hii Zhoungtong Climber upgrade ni mwisho wa matatizo inatembea kama ndege Na kuna pacha wake DMG 618 na DMG 613 Aisee kuingia Mbeya sasa kuna ushindani mkubwa wa SAULI Vs DEER Naona wanapelekea moto sana njia ya Mbeya usipokuwa kibati hupati abiria [emoji1][emoji1][emoji91][emoji91]
Aiseee hii chuma kutoka kampuni ya Golden Deer (Newforce) ni hatari Jana imenivutia Sauli zote DRH na DTF (Scania 95- 310) na sio mara moja kuziburuza Hii Zhoungtong Climber upgrade ni mwisho wa matatizo inatembea kama ndege Na kuna pacha wake DMG 618 na DMG 613 Aisee kuingia Mbeya sasa kuna ushindani mkubwa wa SAULI Vs DEER Naona wanapelekea moto sana njia ya Mbeya usipokuwa kibati hupati abiria [emoji1][emoji1][emoji91][emoji91]
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Jun 4, 2021 #2 Huna picha???
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jun 4, 2021 #3 Endelea kusifia mauti. Katika karne hii bado kuna binadamu anasifia ligi ya mabasi?
SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,038 Reaction score 8,929 Jun 4, 2021 #4 Subiri liwachinje kama MAJINJA ndio akili zenu zikae sawa.
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 17,640 Reaction score 22,748 Jun 4, 2021 #5 Wachina wabishi sana iyo njia tena ubishi umekuja kukolea baada ya sauli kupata jina kubwa huko. Ila climber daah ni scania la kichina lile
Wachina wabishi sana iyo njia tena ubishi umekuja kukolea baada ya sauli kupata jina kubwa huko. Ila climber daah ni scania la kichina lile
chenjichenji JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 1,773 Reaction score 3,529 Jun 4, 2021 #6 Zamu ya wana Mbeya kutangazwa redioni na kwenye vituo vya luninga haiko mbali.
Burnaboy JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 1,070 Reaction score 1,439 Jun 4, 2021 #7 Ni wazi unafanya kazi stendi
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Jun 4, 2021 #8 Mwendokasi sio issue. Issue ni kufika salama.
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Jun 4, 2021 #9 Njia ya Arusha hyo ligi tulishaisahau Kabsa maana mbeya ndo kama Mnaanza
H Hypershulemia JF-Expert Member Joined May 19, 2021 Posts 275 Reaction score 841 Jun 4, 2021 #10 Golden Deer DPK dawa ya majinjah Dar-Swax
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,502 Reaction score 9,070 Jun 4, 2021 #11 Zote kazi kikubwa mkono uende kinywani Burnaboy said: Ni wazi unafanya kazi stendi Click to expand...
Zote kazi kikubwa mkono uende kinywani Burnaboy said: Ni wazi unafanya kazi stendi Click to expand...
Burnaboy JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 1,070 Reaction score 1,439 Jun 4, 2021 #12 Johnny Impact said: Zote kazi kikubwa mkono uende kinywani Click to expand... Kweli. Hakuna aliesema ni kazi mbaya. Ni kama anaefanya airport alete uzi wa ndege mbali mbali zinazotua pale. Zote kazi.
Johnny Impact said: Zote kazi kikubwa mkono uende kinywani Click to expand... Kweli. Hakuna aliesema ni kazi mbaya. Ni kama anaefanya airport alete uzi wa ndege mbali mbali zinazotua pale. Zote kazi.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jun 4, 2021 #13 Upo km mdogo wangu flan Kichwa kimejaa ma bus toka utoton na sa hv kweli Yuko stand. What's up status kutwa mabasi . Mtoa maada lete namba yako nimpe muwe mnawasiliana naye mna Jambo lenu
Upo km mdogo wangu flan Kichwa kimejaa ma bus toka utoton na sa hv kweli Yuko stand. What's up status kutwa mabasi . Mtoa maada lete namba yako nimpe muwe mnawasiliana naye mna Jambo lenu
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,756 Reaction score 5,250 Jun 4, 2021 #14 Mtoa mada anapromote magari watu waende kwa wingi kupanda
M Malcom Sr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2021 Posts 1,163 Reaction score 1,647 Jun 4, 2021 #15 Mother Confessor said: Huna picha??? Click to expand... Ni uongo tu bila kavideo kidogo