samahani kwa swali langu naombe unisaidie majibu ukikutana na mwanamke ambae ameathirika na Ukimwi ukanyanae yafutayo unaweza kuambukizwa ukimwi ? romance,au denda mkinyonyana akikunyoya maziwa na mwisho akikunyanya korodani je? anaweza kukusababishia maambukizi?? naombeni msadaa wenu nipate kujua.