Hijab na vikoti kama Rais Samia ndiyo vazi jipya mjini

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,952
Reaction score
4,416
Aisee leo nimeingia ofisini na kushangazwa na wadada ofisini kwetu. Wengi wao wamevalia hijab, vikoti na sketi ndefu.

Wao wanadai wamevaa hivyo kumuunga mkono Mama Samia. Yaani kuanzia Branch Manager mpaka Receptionist, wote ni hijab, kikoti na sketi ndefu.

 
Angevaa na Barakoa ili wote waige ili Waache kuambukizana
 
Nashangaa na Mke wangu jana kajifunga hijabu.
 
Weka picha zao tuone
 
Afadhali wavae hivo wanatukwaza sana hawa mama zetu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…