INAUZWA HIK Vision Wametoa CCTV Camera ni za moto sana! "Smart Hybrid Light Cctv Camera"

PrimeTech255

Member
Joined
Jan 16, 2024
Posts
21
Reaction score
11
PXL_20240524_094910203.jpg

๐Ÿ‘‰ Kwanza hizi camera Zina Zina quality Bora yenye 2MP
PXL_20240524_094017192.jpg

๐Ÿ‘‰ Na zinaonesha rangi halisia iwe mchana ama usiku

๐Ÿ‘‰ Ina technologia ndani yake "Smart Hybrid Light" mahususi Kwa ajili ya kuimalisha ulinzi na kukupa machaguo zaidi kwenye suala zima la mwanga wa video zinazorekodiwa.
PXL_20240524_093909945.jpg

๐Ÿ‘‰ Zinapatikana Kwa Tsh 60,000 Kwa pisi moja

๐Ÿ‘‰ Na Complete Set yenye Camera 4 (Smart Hybrid Light Camera) inakujia Kwa Tsh 595,000 tu.
PXL_20240524_093919194.jpg

๐Ÿ‘‰Nipigie muda huu Kwa maswali na ushauri zaidi kuhusu Cctv Camera!!!๐Ÿ‘‡

0765576003 | 0715909419.

Popote ulipo huduma inakufikia ๐Ÿค
 
View attachment 3002157
๐Ÿ‘‰ Kwanza hizi camera Zina Zina quality Bora yenye 2MP
View attachment 3002154
๐Ÿ‘‰ Na zinaonesha rangi halisia iwe mchana ama usiku

๐Ÿ‘‰ Ina technologia ndani yake "Smart Hybrid Light" mahususi Kwa ajili ya kuimalisha ulinzi na kukupa machaguo zaidi kwenye suala zima la mwanga wa video zinazorekodiwa.
View attachment 3002156

๐Ÿ‘‰ Zinapatikana Kwa Tsh 60,000 Kwa pisi moja

๐Ÿ‘‰ Na Complete Set yenye Camera 4 (Smart Hybrid Light Camera) inakujia Kwa Tsh 595,000 tu.
View attachment 3002158

๐Ÿ‘‰Nipigie muda huu Kwa maswali na ushauri zaidi kuhusu Cctv Camera!!!๐Ÿ‘‡

0765576003 | 0715909419.

Popote ulipo huduma inakufikia ๐Ÿค
Sawa
 
Ila CCTV cameras uwa sizielewi, sijui kusave space au nn, hazitoagi picha clear.

images (35).jpeg
 
Wanechelewa dahu alishatoa kitambo sana mm nimefunga HK V lakn wateja wang weng walikuwa wanailewa dahua maana n quality sana full colors ukiuga kweny cm n chap pia unaweza kuuganisha zaid ya screen 3 kuendelea pila kuptsha miwaya mng
 
hv aplication ya dahua ni ile ile dmss lite au gdmss
 
Ila CCTV cameras uwa sizielewi, sijui kusave space au nn, hazitoagi picha clear.

View attachment 3002172
Kwa Sasa camera zipo za ubora tofauti tofauti mkuu hivo ni maamzi ya bank husika ama mtu husika kuchagua ubora anaoutaka yeye (kiufupi kwenye Cctv Kwa Sasa unapewa unacholipia) ila camera Bora zipo sana tu!!!
 
Wanechelewa dahu alishatoa kitambo sana mm nimefunga HK V lakn wateja wang weng walikuwa wanailewa dahua maana n quality sana full colors ukiuga kweny cm n chap pia unaweza kuuganisha zaid ya screen 3 kuendelea pila kuptsha miwaya mng
Ahsante Sana Kwa mchango wako brother ๐Ÿค
 
Back
Top Bottom