Hiki alichokifanya The weeknd ni halisi au kama maigizo tu?

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Hello!

Katika pita pita zangu YouTube muda huu nimekutana na video ya huyu msanii ambayo imapakiwa siku 5 zilizopita. Wimbo nimeupenda ila kilichonishtua na kuniogofya ni muonekano wake sasa, ni kama kinyago cha mpapule ni anatisha kiukweli. Hata ukimuangalia vizuri ni kama mtu amefanyiwa operation ya uso kuna makovu kwa pembeni.

👇
 
nenda kamwangalie na dax kwenye joker then utupe mrejesho... it's just a makeup...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…