Yaani nimecheka sana kusikia mchezaji Feitoto alikuwa analishwa ugali + sukari huko Yanga.
Sasa nawauliza wenzangu huu mchanganyiko wa ugali na sukari unaliwaje?
Angalau kidogo ugali + limao +chumvi hapo unaweza kula ila ugali na chumvi[emoji119][emoji119]
View attachment 2535184View attachment 2535190