Nahisi hiyo ni aina ya country salad
Mie huweka yai la kuchemsha.olive zenyewe,cucumber,majani ya salad,tuna fish wa kikopo then juu namiminia olive juice yake ambayo inatunzwa hizo olive zenyewe na naweka olive oil kidogo ni nzuri sana very health ni nzuri kwa wanaotaka kufanya balance diet
Farkhina hii nimeipenda
Mamito Angel Nylon atafanya mambo
unachukua fish fillets au meat fillets unazikaanga na mafuta kidogo na vinegar kwa mbali kisha unapasulia yai lisilovurugwa juu yake unaacha kwenye moto kama dak 5 kisha unaopoa! unakuwa na kachumbari ya fresh veg pembeni na glass ya sweetwine!
Labda nkipata muda niweke
Kwa hapo tu honey, usiwe na shaka.
Mwaka huu usiponenepa hunenepi tn mume wangu
Lol.....jirran anajua ;-)
hahahaaa mumie lakini usizidishe sana nikapata kitambi hafu nishindwe kuzungurusha