assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine.
Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika
Hatutaki udini
Hatutaki ukanda.
Hatutaki lugha zisizo na staha
Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika
Hatutaki udini
Hatutaki ukanda.
Hatutaki lugha zisizo na staha