Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhElimu sio ufunguo wa Ajira..., bali ni Kuongeza Ujuzi tu kwahio kutoka kimaisha na kupata cheti / stashahada sio direct proportional ingawa sidhani kama elimu itampunguzia kupigika kama atapigika (ni heri upigike na elimu yako)
Kwani alternative ni zipi ? kuliko kukaa kitaa ni bora akaongeze huo ujuzi huku anapata exposure
Hata kama hamumpendi mshaurini basi jamani.Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa.
Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio mambo ya kupoteza muda tu.
Huyo utatoa mtendaji wa kijiji vizuri sana.Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa.
Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio mambo ya kupoteza muda tu.
Hii Ordinary Diploma in Secretarial Studies (ODSS) – NTA 5 & 6 nafikiri kozi bora kwa chuo kutokana kurekebisha mitaala yao ! Pitia pdf chini.Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa.
Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio mambo ya kupoteza muda tu.
Kozi ambazo nitamshauri mtu asome kwenye hii tz ya viwonder..Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa.
Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio mambo ya kupoteza muda tu.
Zamani kilikuwa kinasifika sanaHao kwa kwaya ni balaa, akirudi likizo mwambie akuimbie utafurahi
Tunaomba chaguo moja hapo mbona umegusia zote.Kozi ambazo nitamshauri mtu asome kwenye hii tz ya viwonder..
1. Kozi za uhandisi
2. Sheria
3. Uhasibu/biashara
4. Afya
Nje ya hapo kazi unayo unless uje ujiajiri badae nje ya kozi uliyo somea
Sijagusia zote. Kuna kozi nyingi hapo hamna.. mfanoTunaomba chaguo moja hapo mbona umegusia zote.
Kozi ambazo nitamshauri mtu asome kwenye hii tz ya viwonder..
1. Kozi za uhandisi na teknolojia
2. Sheria
3. Uhasibu/biashara
4. Afya
Nje ya hapo kazi unayo unless uje ujiajiri badae nje ya kozi uliyo somea