Hapo Kwenye Udom na Mzumbe ?!!?!?!???!!!!
Siku chache zilizopita nimeona rank za vyuo,
kwanza zilianza zile za Africa kwa ujumla, baadae nimeona Tanzania, baadhi ya vyuo vilivyotajwa kwa ubora n.
UDSM
UDOM
MZUMBE
IFM
Mm nasoma St.John University of Tanzania, je hiki ni cha ngapi kwa Ubora? Au kanyaboya
kuhusu udom na mzumbee sahau kuwa katika rank ya africaa tanzaniaa ni vyuo 2 tu vilivyoo jikakamua sua na udsm fungua best university of africa
Ifike mahali tuache ushabiki, ukichangia maada uwe na hoja za kujitetea.Hapo Kwenye Udom na Mzumbe ?!!?!?!???!!!!