NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hayo mashindano yapoje?Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.
Credit Azam sports.
Swali langu: Mbona mpaka Sasa TFF bado hawajatoa tamko lolote kuhusu kocha wa Taifa stars wenye mdomo na asiyekua na mbinu katika kufundisha?View attachment 2933473
Timu za Simba na Yanga zina Mechi muhimu tarehe 29-30 halafu mnachukua Wachezaji waende nje ya bara la Afrika Mechi tarehe 23&27 mnazitakia heri kweli hizi timu?Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.
Credit Azam sports.
Swali langu: Mbona mpaka Sasa TFF bado hawajatoa tamko lolote kuhusu kocha wa Taifa stars wenye mdomo na asiyekua na mbinu katika kufundisha?View attachment 2933473
Mimi mwenyewe nashangaa, Taifa stars ina mechi tar 25/03 baada ya hapo wasafiri kutoka Azabaijan wafike tar 27, tar 29/30 timu zina mechi. Kwa vile ni wachache nadhani wangewaacha.Timu za Simba na Yanga zina Mechi muhimu tarehe 29-30 halafu mnachukua Wachezaji waende nje ya bara la Afrika Mechi tarehe 23&27 mnazitakia heri kweli hizi timu?
kha dickson job hayumo,alahu akbarKatika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.
Credit Azam sports.
Swali langu: Mbona mpaka Sasa TFF bado hawajatoa tamko lolote kuhusu kocha wa Taifa stars wenye mdomo na asiyekua na mbinu katika kufundisha?View attachment 2933473
Sasa kama hilo shirikisho lenyewe limejaa wanasiasa na vilaza, unategemea nini?Timu za Simba na Yanga zina Mechi muhimu tarehe 29-30 halafu mnachukua Wachezaji waende nje ya bara la Afrika Mechi tarehe 23&27 mnazitakia heri kweli hizi timu?