Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia.
Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama ifuatavyo.
Mfumo utapaki ule ule 4-3-3
Kila la Kheri timu yangu ya Mwananchi ushindi lazima na makundi tunaenda
Soma Pia:
Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama ifuatavyo.
- Diarra
- Boka
- Yao
- Dikson Job
- Ibrahim Bacca
- Aucho
- Mudathir
- Pacome
- Aziz Ki
- Max Mpia
- Mzize
Mfumo utapaki ule ule 4-3-3
Kila la Kheri timu yangu ya Mwananchi ushindi lazima na makundi tunaenda
Soma Pia: