Hiki hapa Kikosi muunganiko (combined XI) Yanga vs Simba kwa kuzingatia form na balance!

Hiki hapa Kikosi muunganiko (combined XI) Yanga vs Simba kwa kuzingatia form na balance!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Bado saa kadhaa kuelekea Kariakoo Derby!

Mechi ya miamba wa soka la Tanzania (Yanga SC vs Simba SC) inakaribia, na Hans Rafael mchambuzi wa Soka ametengeneza muunganiko wa kikosi cha kwanza kwa kuzingatia form na balance kuelekea mtanange huo.

Hans Rafael - Crown FM
IMG_3411.jpeg


Naomba kuona Kikosi chako cha muunganiko (Yanga vs Simba) kwenye Comment…👇🏽👇🏽
 
Hamza anamuweka benchi afande kutoka zenji

🚮🚮
 
Ili kuleta balance ya kikosi uko sahihi ila kuna watu watabisha sabu watangalia tu form ya mchezaj mmoja mmoja bila balance nd hapo unakuta una timu ina ma PRO weng afu haipati mataji makubwa
 
Kikosi changu kitakua hivi

Mzize

Mpanzu-Aziz Ki-Pacome

Kagoma-Aucho

Zimbwe-Bacca-Job-Israel

Camara

Hiyo ndio combined lineup Yanga na Simba
 
Back
Top Bottom