Hiki kibaridi cha Dar kilifaa weekend

Hiki kibaridi cha Dar kilifaa weekend

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki.

Kizuri sana kwa kufanyia mazoezi ya kutoka jasho hiki, hasa mkiwa wawili.
 
😀😀😀afu kuna kina sisi ni burudani tuuu aweeke hivi wiki nzima
 
Back
Top Bottom