Tulishakubaliana.... Kukua katika Soka ni process yaani Mchakato...!
Kwanza tumeanza kwa Kufanikiwa kushiriki Afcon.!
Kifuatacho ni kuhakikisha kuwa tunashiriki shiriki mara nyingi nyingi hii hatua..!
Baada ya hapo ndio tufikirie kuanza kuwafunga funga Wale ambao tumewakuta hatua ni Wazoefu kama Morocco na Zambia.!
Tatizo WaTZ mnataka mmeingia Leo,Leo Leo mjione mmekatiza makundi, robo ,nusu fainali na mpo Fainali.... ! Kumbukeni Hii michuano sio kama CAF shirikisho(CAF CC).
Ndio maana CAF wameifutilia mbali.. CAF CC...