Hahahahaaa we Preta we kilikutokea cha namna gani sasa? Umenifanya ncheke kwa nguvu
asee duniani kuna mambo
Dah tena mambo makubwa kweli. Halafu kituko ni kwamba baadae hicho kibinti kikaja kutoka na bro wangu
Mkwe naomba uniwekee mbege yangu. . .
Kuna sehemu niliona unesena leo umeamka na hangover. . . .usimalize yote bana.
mkwe uko wapi mie nakusubiri pale pa jana au kuna jam
hebu njoo fasta kabla haijawa ngera
yah....mimi iliwahi kunitokea....