Hiki kina kazi gani??

Zamani watu walikuwa wanatembea na visaa vidogo ambavyo huvai mkononi. So hicho kifuko kilikuwa maalum kwaajili ya "pocket watch".
Kuna mdau mmoja alinijibu hivi

"eti ni cha kuwekea Condom..Mfano unaweza changanya badala ya kutoa pesa ukatoa kondomu"
 
Kuna mdau mmoja alinijibu hivi

"eti ni cha kuwekea Condom..Mfano unaweza changanya badala ya kutoa pesa ukatoa kondomu"
Ha ha haaa watu wanavyoficha condom mbali..sidhani kama hapo ni sehemu sahihi ya condom!
 
Nakataa, sababu hizo saa hazipo tena lakini bado hiyo mifuko ipo, mimi naona kwa kuwa ni jeans za kiume itakuwa ni kwaajili ya condom au bublish au simcard ya michepuko
Kiukweli kinatumika kuweka vitu vifuatavyo
-simcard za mchepuko
-bange
-kondom
-sarafu
 
Nakataa, sababu hizo saa hazipo tena lakini bado hiyo mifuko ipo, mimi naona kwa kuwa ni jeans za kiume itakuwa ni kwaajili ya condom au bublish au simcard ya michepuko
Yes saa hazipo tena lakini Lengo hasa la kicho kifuko ni kuwekea saa.
 
Ni kwa ajili ya kuhifadhia saa ndogo zisizovaliwa mikononi badala yake zinakua na cheni ndefu...

Cheni inafungwa kwenye flaiz ya jeans ikishikilia hiyo saa na saa huingizwa kwenye hako ka mfuko kadogo ka jeans.

Jeans ni vazi la ma-cow boy miaka hiyo ya 1800s. Na ni kampuni ya mavazi inayoitwa levis ndiyo ilikuja na huo ubunifu..

Cc: mahondaw
 
Kwanini lazima u mention mahondaw?
 
Alaa kumbe!!!!
Asante sana my Smart911 hata mi nilikua sielewi
 
Vifuko hivi hutumika kuweka hirizi hata kwenye kaptura za michezo vipo kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…