Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Picha bora ya mwaka huu,huyu mchoraji ametumiwa nauli aje kuonana na muwekezaji wetu MO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁HUYO NDIO RAS SIMBA
😁😁😁 Atakuwa niyule aliyechonga sanamu ya NyerereSimba amepaka wanja... Simba amepinda mugongo na kubinua makalio juu.. Simba amevaa wigi.. Simba anarembua... Mweeeh huyu atakua simba wa Buza
😂 😂 😂 😂 😂 😂Simba amepaka wanja... Simba amepinda mugongo na kubinua makalio juu.. Simba amevaa wigi.. Simba anarembua... Mweeeh huyu atakua simba wa Buza
Mtafute mwenyekiti wa tawi hilo ndiyo awaombe radhitutake radhi sisi mabingwa..
Picha bora ya mwaka huu,huyu mchoraji ametumiwa nauli aje kuonana na muwekezaji wetu MO.View attachment 1175681
Mchoraji atakuwa ndugu yangu kabisa wa imani (Mwananchi)Cha kushangaza ni Kibaha hapo, je alizamiria