Hiki Kipimo naweza kukipata Pharmacy?

Vipimo vinapatikana kwenye phamacy nyingi tu tatzo zaidi ni maji yanayowekwa pamoja na damu ili kutoa majibu

Wengine huwa wanakubali kuyauza unanunua syringe anakuwekea ila kuna wapuuzi huwa hawatak kuyauza
 
Sasa kama hawataki kuyauza, watauzaje Kifaa bila kuwa na zana hizo muhimu za kuwezesha Kifaa kifanye kazi..!!!!
Vipimo vinapatikana kwenye phamacy nyingi tu tatzo zaidi ni maji yanayowekwa pamoja na damu ili kutoa majibu

Wengine huwa wanakubali kuyauza unanunua syringe anakuwekea ila kuna wapuuzi huwa hawatak kuyauza
 
Ninavyojua vipimo hivyo haviuzwi wala kutolewa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…