Dah safi sana inawezekana hata hii amani yetu tuliyo nayo tukawa na rais anayetembea kwa kutumia mabasi kama ya Posta G/Mboto. Si tunajidai tuna amani, mbona JK anashindwa hata kutoka pale Magogoni kwenda airport kwa DCM la G/Mboto.
Anyway, ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wetu.