Hiki kipindi cha mvua kina baridi hatariii

Gatabhanya

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
2,644
Reaction score
5,178
Za asubuhi waungwana.

Hiki kipindi kinahamasisha mgegedo walio kwenye ndoa kipindi hiki wanatupiga bao kwa maana wao mgegedo ni uhakika.

Lakini kwa sisi kataa ndoa hali ni mbaya demu unampanga hapangiki akija leo kurudi tena hadi wiki ipite nataka nirudi kwenye mrenda wa uvuguvugu.

Hali ni mbaya mdada anayesumbuliwa na baridi aje tuzungumze pm.
 
Hizo mvua zinanyesha wapi wakuu?

Mvua zikinyesha limeni wazeni kuhusu kilimo cha muda mfupi sio muwaze kilimo cha miezi 9. Limeni hata michicha, kilimo kinalipa hasa cha pdf, ngoja nikutumie pdf ya kilimo cha mchicha.
 
Muwe wavumilivu hadi kauli yenu ya KATAA NDOA ikomae vizuri. Mola awarehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…